haya ni moja ya maoni kuhusu katiba mpya…

haya ni moja ya maoni kuhusu katiba mpya. Mkuu labda nikuulize hivi,
unakumbuka sababu ya kuandikwa
kwa katiba ya Marekani?. Kulitokea
vitu gani hadi katiba mpya
ikaundwa. Je, sisi tunaunda katiba
… mpya kutokana na kero au makosa
gani na haya yameorodhoshwa ama
kukubalkika vipi kwanza mbele ya
kuunda katiba mpya. Na hayo
yatatusaidi kujenga Taifa la aina
gani? Hii ndio maana ya Dira yaani
unatazama matatizo ulokuwa nayo
kisha unaanda katiba, mfumo wa
kiiutawala, sheria kuelekea kujenga
kitu ambacho unakitarajia.
Hata hizo sharing water resources,
boarders, ethinic na kadhalika
vinatakiwa kuwa na malengo aidha
kuyalinda anma kuyabomoa ili upate
kitu fulani. Sisi hatuna tunakwenda
tu kuunda katiba hatujui tunataka
nini na ndio maana tunakusanya
kero maana zimekuwa nyingi kiasi
kwamba Viongozi wenyewe
hawazijui kama ni kero otherwise
tusingeanza kukusanya ila
tungelenga wapi panatukwaza.

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s